Usiku ule walikuwako wachungaji wakilinda kondoo zao nje ya mji. Ghafla malaika wa Bwana akawatokea, na utukufu wa Mungu ukawang’azia pande zote. Wakajawa na hofu kuu.@Luka 2:8-9
picha
Josef Mohr (1792-1848)

Josef Mohr, circa 1816-1818 (Stille Nacht); .

Franz X. Gruber, circa 1820 (🔊 pdf nwc).

picha
Franz X. Gruber (1787-1863)

Kwa usiku wa zamani, yote kimya, takatifu.
Mama na Mutoto Yesu walilala kwa kizizi.
Na salama ya mbingu, na salama ya mbingu.

Kwa usiku wa zamani, wachungayi waliona
Nuru kubwa kule mbingu, malaika wakisifu.
Haleluya kwa Mungu, Haleluya kwa Mungu.

Kwa usiku wa zamani, wa-akili toka mbali
Walifuata nyota yulu kutafuta Bwana Yesu.
Wakileta zawadi, wakileta zawadi.

Kwa usiku wa zamani, Mungu, tunakushukuru:
Kwa mapendo kwasi watu, unlituma kwetu Yesu
Kuokola dunia, kuokola dunia.